‹ Nyuma NAECMama's Pride
Bidhaa za Lishe · NAEC

Mama's Pride

Bidhaa za lishe zilizolengwa kwa mama mjamzito, anayenyonyesha na mtoto.

NAEC Mama's Pride product range
🤰 Kwa Mama Mjamzito

Mama's Pride Uji (Wamama Uji)

TZS 12,000
Uji maalum kwa wajawazito — kifungua kinywa bora.
  • Hutoa nishati ya kudumu kwa mama mjamzito
  • Huongeza ubora wa lishe wakati wa ujauzito
  • Huchangia ukuaji mzuri wa mtoto tumboni
  • Husaidia mama anayeshindwa kula milo mikubwa kupata lishe kwa urahisi

Pregnancy Tea

TZS 20,000
Chai ya kuongeza damu & virutubisho kwa wajawazito.
  • Huchangia afya bora ya damu & mzunguko mzuri
  • Ina antioxidants zinazolinda seli za mwili
  • Husaidia kupambana na uchovu wa upungufu wa virutubisho
  • Kinywaji kizuri cha kuongeza ulaji wa maji wakati wa ujauzito
🍼 Kuongeza Maziwa & Postpartum

Milk Flow Uji

TZS 12,000
Uji wa kuongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha.

Milk Boosting Tea

TZS 20,000
Chai ya kusaidia uzalishaji wa maziwa ya mama.
  • Husaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa ya mama
  • Kwa mama anayehisi maziwa hayatoshi mahitaji ya mtoto
  • Hufaa kwa anayenyonyesha moja kwa moja au anayepump
  • Rahisi kutumia kama sehemu ya ratiba ya kila siku

Milk Booster Powder

TZS 13,000
Unga wa kuchanganya kwenye uji, chai, smoothie au vyakula.
  • Husaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa ya mama
  • Hutoa virutubisho muhimu wakati wa unyonyeshaji
  • Huongeza nishati kwa mama wa postpartum
  • Rahisi kuchanganya bila kubadilisha ratiba ya ulaji
👶 Kwa Watoto

Baby Starter Food

TZS 12,000
Weaning porridge kwa watoto wanaoanza kula — miezi 6+.
  • Husaidia mtoto kuanza safari ya kula kwa usalama
  • Huchangia ukuaji wa mwili na ubongo
  • Husaidia mtoto kuzoea ladha na muundo wa vyakula vipya
  • Rahisi kuandaa na kumeng'enywa

Baby Growth Meal

TZS 12,000
Kwa watoto miezi 7+ & toddlers — kuongeza uzito kwa afya.
  • Husaidia kuongeza uzito kwa afya
  • Hutoa nishati kwa mtoto anayekua
  • Huchangia ukuaji wa mwili na ubongo
  • Husaidia mtoto kuwa na nguvu za kucheza na kujifunza

Appetite Boosting Meal

TZS 12,000
Mlo wa kuchochea hamu ya kula — watoto & watu wazima.
  • Husaidia kuchochea hamu ya kula
  • Husaidia wakati wa kupona baada ya kuugua
  • Kwa wanaopoteza uzito kutokana na ulaji hafifu
  • Rahisi kutumia kwa watoto na watu wazima
💬 Bei za baadhi ya bidhaa hutolewa kulingana na package & eneo. Tuma ujumbe WhatsApp kupata bei ya sasa, upatikanaji na ushauri wa lishe.
Agiza kupitia WhatsApp