Elimu, mwongozo na ushauri kwa wanawake katika kila hatua ya safari ya uzazi na afya ya familia — na Caren Victor, Maternal Nutrition Specialist.
Darasa la wajawazito kuanzia trimester ya kwanza hadi kujifungua.
Darasa maalum kwa wajawazito na wamama waliojifungua.
Kwa mama aliyejifungua anayehitaji kurejea katika afya njema.
Kwa wazazi wa watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5.
Kwa wanawake na wanandoa wanaojiandaa kupata ujauzito.
Darasa la wanawake walio kwenye ndoa au wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa.
Mpango maalum wa lishe ulioandaliwa mahsusi kwako.